Apps
BONYEZA HAPA! KUDOWNLOAD APP YA BONGOMAX (ANDROID) – Itakayo kuwezesha kupakua/kudownload filamu na kuangalia baadae bila internet
Baada ya kudownload ukiwa una install itakuonesha ujumbe kama unavyoonekana kwenye picha hapo chini. Bonyeza ‘More Details’ kisha Bonyeza ‘Install anyway’
———————————————————
Kwa wanaotumia Simu za Android za Zamani, Baada ya ku download Bonyeza kwenye mshale mwekundu kama inavyoonekana kwenye hatua zifuatazo