Burudani Mwanzo Mwisho!


BONYEZA PICHA YA MTANDAO UNAOTAKA KUFANYIA MALIPO



Gharama za BongoMax kwa Wiki ni Tsh 5,000
Gharama za BongoMax kwa Mwezi ni Tsh 10,000

JINSI YA KULIPA/KUONGEZA SALIO LAKO LA XTREEMPAY (WALLET):

•MIXX BY YAS:
#5.Lipa kwa simu -> #2.TANQR -> Lipa namba ni 19918456

•MPESA:
#1.Tuma Pesa -> #4.Mitandao Mingine -> #2.Mixx By Yas -> Namba ya Simu weka 19918456

•AIRTEL MONEY:
#5.Lipia Bili -> #1.Lipa Kwa Simu -> 1.TANQR(TIPS) -> Lipa Namba weka 19918456

•HALOPESA:
#5.Lipia Bidhaa -> #1.TANQR -> Lipa namba ni 19918456

19918456 (Lipa Namba)

Baada ya sekunde chache Utapokea SMS inayoonesha Salio jipya la Wallet yako ya Xtreem Pay pamoja na Paypin kutoka (0620216969).
Ingiza NAMBA YA SIMU ULIYOFANYIA MALIPO pamoja na PAYPIN uliyotumiwa, kwenye form hapo juu kisha bonyeza WATCH.
Hakikisha kiasi ulicho tuma ni 5000 au 10000. Kama umetuma pesa na haujapokea SMS ya Paypin kwa zaidi ya dakika 5, inaweza ikawa ni shida ya mtandao hivyo jaribu kuandika na kutuma neno 'Paypin' kwenda 0620216969 kwa SMS/WhatsApp ukitumia namba uliyofanyia Malipo, tutakutumia hapohapo kwa mara nyingine tena.

Kuwasiliana nasi Bonyeza Hapa!



-----------------------------------------

Endapo ulikua tayari una salio kwenye Wallet yako ya Xtreem Pay :
Lipa kifurushi cha Wiki au Mwezi, Kwa kuandika 'Lipa Bongomax Wiki' au 'Lipa Bongomax Mwezi' kwa SMS/WHATSAPP kwenda namba ya XtreemPay '0620216969' ukitumia namba yako yenye Salio la XtreemPay. Utapokea Ujumbe wenye Paypin hapohapo baada ya kutuma, kisha utaitumia Paypin hiyo kwenye form hapo juu.

BONYEZA HAPA KWENDA WHATSAPP KUFANYA MALIPO YA WIKI->

BONYEZA HAPA KWENDA WHATSAPP KUFANYA MALIPO YA MWEZI->





Trailer


Hii Ni Trailer ya Filamu Uliyoibonyeza, Utaweza kutazama Filamu Zote zilizopo ndani na BongoMax Utakapofanya Malipo