Gharama za BongoMax kwa Siku ni Tsh 1,000
Gharama za BongoMax kwa Wiki ni Tsh 2,000
Gharama za BongoMax kwa Mwezi ni Tsh 5,000
JINSI YA KULIPA/KUONGEZA SALIO LAKO LA XTREEMPAY (WALLET):
•TIGOPESA:
#5.Lipa kwa simu ->
#2.TANQR -> Lipa namba ni
19918456
•MPESA:
#1.Tuma Pesa ->
#5.Mitandao Mingine ->
#2.Tigo Pesa -> Namba ya Simu weka
19918456
•AIRTEL MONEY:
#5.Lipia Bili ->
#1.Lipa Kwa Simu ->
1.TANQR(TIPS) -> Merchant Code weka
19918456
•HALOPESA:
#5.Lipia Bidhaa ->
#1.TANQR Lipa Hapa -> Lipa namba ni
19918456
Baada ya sekunde chache Utapokea
SMS inayoonesha Salio jipya la Wallet yako ya Xtreem Pay pamoja na
Paypin kutoka
(0620216969).
Ingiza NAMBA YA SIMU ULIYOFANYIA MALIPO pamoja na PAYPIN uliyotumiwa, kwenye form hapo juu kisha bonyeza WATCH. Hakikisha kiasi ulicho tuma ni 1000 au 2000 au 5000. Kama umetuma pesa na haujapokea SMS ya Paypin kwa zaidi ya dakika 5, inaweza ikawa ni shida ya mtandao hivyo jaribu kuandika na kutuma neno 'Paypin' kwenda 0620216969 kwa SMS/WhatsApp ukitumia namba uliyofanyia Malipo, tutakutumia hapohapo kwa mara nyingine tena.
-----------------------------------------
Endapo ulikua tayari una salio kwenye Wallet yako ya Xtreem Pay :
Lipa kifurushi cha Siku au Wiki au Mwezi, Kwa kuandika '
Lipa Bongomax Siku' au '
Lipa Bongomax Wiki' au '
Lipa Bongomax Mwezi' kwa SMS/WHATSAPP kwenda namba ya XtreemPay '
0620216969' ukitumia namba yako yenye Salio la XtreemPay. Utapokea Ujumbe wenye Paypin hapohapo baada ya kutuma, kisha utaitumia
Paypin hiyo kwenye form hapo juu.
BONYEZA HAPA KWENDA WHATSAPP KUFANYA MALIPO YA SIKU->
BONYEZA HAPA KWENDA WHATSAPP KUFANYA MALIPO YA WIKI->
BONYEZA HAPA KWENDA WHATSAPP KUFANYA MALIPO YA MWEZI->